Mal. 3:11 SUV

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Mal. 3

Mtazamo Mal. 3:11 katika mazingira