13 Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani?
Kusoma sura kamili Mal. 3
Mtazamo Mal. 3:13 katika mazingira