3 Nanyi mtawakanyaga waovu; maana watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu; katika siku ile niifanyayo, asema BWANA wa majeshi.
Kusoma sura kamili Mal. 4
Mtazamo Mal. 4:3 katika mazingira