Mal. 4:6 SUV

6 Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.

Kusoma sura kamili Mal. 4

Mtazamo Mal. 4:6 katika mazingira