11 Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
Kusoma sura kamili Mhu. 1
Mtazamo Mhu. 1:11 katika mazingira