17 Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu,Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi.
Kusoma sura kamili Mhu. 10
Mtazamo Mhu. 10:17 katika mazingira