Mhu. 11:3 SUV

3 Mawingu yakiwa yamejaa mvua,Yataimimina juu ya nchi;Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini,Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.

Kusoma sura kamili Mhu. 11

Mtazamo Mhu. 11:3 katika mazingira