Mhu. 11:9 SUV

9 Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.

Kusoma sura kamili Mhu. 11

Mtazamo Mhu. 11:9 katika mazingira