1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako,Kabla hazijaja siku zilizo mbaya,Wala haijakaribia miaka utakaposema,Mimi sina furaha katika hiyo.
Kusoma sura kamili Mhu. 12
Mtazamo Mhu. 12:1 katika mazingira