Mhu. 2:12 SUV

12 Nikageuka ili kuipambanua hekima, na wazimu na upumbavu. Kwa maana mtu amfuataye mfalme afanye nini? Lilo hilo tu lililokwisha kufanywa.

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:12 katika mazingira