Mhu. 2:15 SUV

15 Nikasema moyoni mwangu, Kama limpatavyo mpumbavu, ndivyo litakavyonipata mimi nami; basi, kwa nini nikawa na hekima zaidi? Nikasema moyoni mwangu ya kuwa hayo nayo ni ubatili.

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:15 katika mazingira