Mhu. 2:21 SUV

21 Maana kuna mtu ambaye kazi yake ni kwa hekima, na kwa maarifa, na kwa ustadi; naye atamwachia mtu asiyeshughulika nayo kuwa sehemu yake. Hayo tena ni ubatili, nayo ni baa kuu.

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:21 katika mazingira