23 Kwa kuwa siku zake zote ni masikitiko, na kazi yake ni huzuni; naam, hata usiku moyoni mwake hamna raha. Hayo nayo ni ubatili.
Kusoma sura kamili Mhu. 2
Mtazamo Mhu. 2:23 katika mazingira