Mhu. 3:11 SUV

11 Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.

Kusoma sura kamili Mhu. 3

Mtazamo Mhu. 3:11 katika mazingira