Mhu. 3:15 SUV

15 Yale yaliyoko yamekuwako; na hayo yatakayokuwako yamekwisha kuwako; naye Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita.

Kusoma sura kamili Mhu. 3

Mtazamo Mhu. 3:15 katika mazingira