Mhu. 3:17 SUV

17 Nikasema moyoni mwangu, Mungu atawahukumu wenye haki na wasio haki; kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi.

Kusoma sura kamili Mhu. 3

Mtazamo Mhu. 3:17 katika mazingira