15 Alivyotoka tumboni mwa mamaye, atakwenda tena tupu-tupu kama alivyokuja; asichume kitu cho chote kwa ajili ya kazi yake, hata akichukue mkononi mwake.
Kusoma sura kamili Mhu. 5
Mtazamo Mhu. 5:15 katika mazingira