Mhu. 5:2 SUV

2 Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.

Kusoma sura kamili Mhu. 5

Mtazamo Mhu. 5:2 katika mazingira