2 Heri kuiendea nyumba ya matanga,Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake.
Kusoma sura kamili Mhu. 7
Mtazamo Mhu. 7:2 katika mazingira