Mhu. 7:25 SUV

25 Nikageuka, na moyo wangu ulikazwa katika kujua na kupeleleza, na kuitafuta hekima, na maana ya mambo yaliyoko; ili nifahamu ya kuwa uovu ni upumbavu, na upumbavu ni wazimu.

Kusoma sura kamili Mhu. 7

Mtazamo Mhu. 7:25 katika mazingira