Mhu. 8:1 SUV

1 Ni nani aliye kama mwenye hekima;Naye ni nani ajuaye kufasiri neno?Hekima ya mtu humng’ariza uso wake,Na ugumu wa uso wake hubadilika.

Kusoma sura kamili Mhu. 8

Mtazamo Mhu. 8:1 katika mazingira