10 Pia nikaona waovu wamezikwa, nao wamefika kaburini; tena waliofanya mema wameondoka katika patakatifu, nao wamesahauliwa mjini. Hayo nayo ni ubatili.
Kusoma sura kamili Mhu. 8
Mtazamo Mhu. 8:10 katika mazingira