Mhu. 8:8 SUV

8 Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho;Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa;Wala hakuna kuruhusiwa katika vita vile;Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.

Kusoma sura kamili Mhu. 8

Mtazamo Mhu. 8:8 katika mazingira