Mhu. 9:12 SUV

12 Maana mwanadamu naye hajui wakati wake; kama samaki wanaokamatwa katika nyavu mbaya, na mfano wa ndege wanaonaswa mtegoni, kadhalika wanadamu hunaswa katika wakati mbaya, unapowaangukia kwa ghafula.

Kusoma sura kamili Mhu. 9

Mtazamo Mhu. 9:12 katika mazingira