Mhu. 9:15 SUV

15 Basi, kulionekana humo mtu maskini mwenye hekima, naye kwa hekima yake akauokoa mji ule lakini hata hivyo hapakuwa na mtu ye yote aliyemkumbuka yule mtu maskini.

Kusoma sura kamili Mhu. 9

Mtazamo Mhu. 9:15 katika mazingira