Mhu. 9:5 SUV

5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

Kusoma sura kamili Mhu. 9

Mtazamo Mhu. 9:5 katika mazingira