Nah. 1:15 SUV

15 Tazama, juu ya milima iko miguu yake aletaye habari njema, atangazaye amani. Zishike sikukuu zako, Ee Yuda, uziondoe nadhiri zako; kwa maana yule asiyefaa kitu hatapita kati yako tena kamwe; amekwisha kukatiliwa mbali.

Kusoma sura kamili Nah. 1

Mtazamo Nah. 1:15 katika mazingira