Nah. 3:17 SUV

17 Watu wako waliotiwa taji ni kama nzige, na majemadari wako ni kama makundi ya mapanzi, watuao katika vitalu siku ya baridi, lakini jua lipandapo huruka juu na kwenda zao, na mahali pao walipo hapajulikani.

Kusoma sura kamili Nah. 3

Mtazamo Nah. 3:17 katika mazingira