Nah. 3:3 SUV

3 mpanda farasi akipanda, na upanga ukimeta-meta, na mkuki ukimemetuka; na wingi wa waliouawa, na chungu kubwa ya mizoga; mizoga haina mwisho; wanajikwaa juu ya mizoga yao.

Kusoma sura kamili Nah. 3

Mtazamo Nah. 3:3 katika mazingira