7 Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.
Kusoma sura kamili Neh. 1
Mtazamo Neh. 1:7 katika mazingira