Neh. 11:22 SUV

22 Naye msimamizi wa Walawi huko Yerusalemu, ni Uzi, mwana wa Bani, mwana wa Hashabia, mwana wa Matania, mwana wa Mika, wa wana wa Asafu, hao waimbaji, alikuwa juu ya kazi ya nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili Neh. 11

Mtazamo Neh. 11:22 katika mazingira