Neh. 11:3 SUV

3 Basi hawa ndio wakuu wa jimbo waliokaa Yerusalemu; ila mijini mwa Yuda wakakaa kila mtu katika milki yake mijini mwao, yaani, Israeli, makuhani, na Walawi, na Wanethini, na akina watumwa wa Sulemani.

Kusoma sura kamili Neh. 11

Mtazamo Neh. 11:3 katika mazingira