Neh. 12:22 SUV

22 Walawi siku za Eliashibu, na Yoyada, na Yohana, na Yadua, wameandikwa wakuu wa mbari za mababa; tena na makuhani; hata siku za kumiliki kwake Dario, Mwajemi.

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:22 katika mazingira