Neh. 12:36 SUV

36 na ndugu zake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda, na Hanani, wenye vinanda vya Daudi mtu wa Mungu; Ezra, mwandishi, akawatangulia;

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:36 katika mazingira