Neh. 13:10 SUV

10 Tena nikaona ya kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; basi wamekimbia Walawi na waimbaji, waliofanya kazi, kila mtu shambani kwake.

Kusoma sura kamili Neh. 13

Mtazamo Neh. 13:10 katika mazingira