Neh. 2:13 SUV

13 Nikatoka nje usiku, kwa njia ya lango la bondeni, nikashika njia iendayo kisima cha joka, na lango la jaa; nikazitazama kuta za Yerusalemu, zilizokuwa zimebomoka; na malango yake yameteketezwa kwa moto.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:13 katika mazingira