Neh. 2:2 SUV

2 Basi mfalme akaniambia, Mbona umesikitika uso wako, nawe huna ugonjwa? Nini hii, isipokuwa ni huzuni ya moyo? Ndipo nikaogopa sana.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:2 katika mazingira