Neh. 3:23 SUV

23 Baada yao wakafanyiza Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akafanyiza Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:23 katika mazingira