Neh. 3:6 SUV

6 Na lango la kale wakalifanyiza Yoyada, mwana wa Pasea, na Meshulamu, mwana wa Besodeya; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:6 katika mazingira