Neh. 4:22 SUV

22 Kadhalika, wakati ule ule, nikawaambia watu, Kila mtu na akae ndani ya Yerusalemu pamoja na mtumishi wake, wapate kuwa walinzi wetu wakati wa usiku, na kufanya kazi wakati wa mchana.

Kusoma sura kamili Neh. 4

Mtazamo Neh. 4:22 katika mazingira