Neh. 5:15 SUV

15 Lakini maliwali wa kwanza walionitangulia, wakawalemea watu, wakawatwalia chakula na mvinyo, zaidi ya shekeli arobaini za fedha; tena watumwa wao nao wakatawala juu ya watu; lakini mimi sikufanya hivyo, kwa kuwa nalimcha Mungu.

Kusoma sura kamili Neh. 5

Mtazamo Neh. 5:15 katika mazingira