Neh. 5:7 SUV

7 Ndipo nikafanya shauri na nafsi yangu, nikagombana na wakuu na mashehe, nikawaambia, Mnatoza watu riba, kila mtu ndugu yake. Nikakutanisha mkutano mkubwa ili kushindana nao.

Kusoma sura kamili Neh. 5

Mtazamo Neh. 5:7 katika mazingira