Neh. 5:9 SUV

9 Tena nalisema, Neno hili mnalolitenda si jema; je! Haiwapasi ninyi kwenda katika kicho cha Mungu wetu, kwa sababu ya mashutumu ya makafiri adui zetu?

Kusoma sura kamili Neh. 5

Mtazamo Neh. 5:9 katika mazingira