Neh. 6:16 SUV

16 Ikawa adui zetu wote waliposikia, ndipo makafiri wote waliotuzunguka wakaogopa, nao wakakata tamaa sana machoni pao wenyewe; maana waliitambua kazi hiyo ilivyotendwa na Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Neh. 6

Mtazamo Neh. 6:16 katika mazingira