Neh. 7:61 SUV

61 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; walakini hawakuweza kuonyesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:61 katika mazingira