Neh. 7:65 SUV

65 Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vile vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:65 katika mazingira