Neh. 7:71 SUV

71 Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane za fedha elfu mbili na mia mbili.

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:71 katika mazingira