Neh. 8:6 SUV

6 Ezra akamhimidi BWANA, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainama vichwa vyao, wakamsujudu BWANA kifudifudi.

Kusoma sura kamili Neh. 8

Mtazamo Neh. 8:6 katika mazingira