Neh. 9:10 SUV

10 nawe ukaonyesha ishara nyingi na mambo ya ajabu juu ya Farao, na juu ya watumishi wake wote, na juu ya watu wote wa nchi yake; kwa maana ulijua ya kuwa waliwatenda kwa kutakabari; ukajipatia jina kama vile ilivyo leo.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:10 katika mazingira