Neh. 9:13 SUV

13 Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:13 katika mazingira